Nyota wa muziki barani Afrika 🦁 @diamomdplatnumz, Amethibitisha kuwa amenunua gari jipya la kifahari aina ya Bugatti. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (IG Story) Ameandika: “I’m tired of this Rolls Royce, can’t wait for my Bugatti to arrive home.”

Maneno Hayo Yametafsiriwa kama uthibitisho wa moja kwa moja kuwa Diamond Ameongeza Gari Hilo La Thamani katika orodha yake ya magari ya kifahari, akijiunga na wasanii wachache wa Afrika waliowahi kumiliki gari hilo la Thamani Zaidi.
Hivyo Ujio wa Bugatti hiyo Ni ishara nyingine ya mafanikio makubwa Ya Mwanamuziki Huyu katika tasnia ya muziki na biashara
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.