Diamond Kutambulisha Msanii Mpya WCB Wasafi.

CEO Wa Label Ya #WcbWasafi SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Amethibitisha Kusaini Msanii Mpya Chini Ya Label Yake Hiyo.

Diamond Kupitia IG Story Yake Ame-Share Picha Ya Mkataba Ukionesha Kuwa Amemsaini Msanii Mpya Na Kuandika “A New Icon Is Coming …”

Hii Ni Baada Ya Hivi Karibuni Kutangaza Kusaini Wasanii Wapya Katika Label Hiyo Kubwa Barani Africa. Kwasasa Label Hii Ina Wasanii Watatu (Lavalava, Zuchu & D Voice).

JE, Unadhani Atakuwa Nani Huyo ?