Diddy Atakiwa Kukabidhi Video Zake Zote Za ‘Freak-Off’ Na Vifaa Vyake Vyote Vya Kieletroniki.

Jaji amemtaka Diddy akabidhi kwa maafisa wa serikali (Feds) video Zake Zote Za Freak-Offs (Zinazodaiwa Kuwa Na Maudhui Ya Ngono au ushahidi wa matukio yaliyokuwa yakichunguzwa) Pamoja Na vifaa vyake vyote Vya kielektroniki kama simu na kompyuta, ili zitumike kama ushahidi katika uchunguzi unaoendelea.

Hii Baada uamuzi wa kesi yake Hivi Karibuni, ambapo Sean “Diddy” Combs alipatikana na hatia katika makosa mawili ya kusafirisha binadamu kwa ajili ya ukahaba Na Kuhukumiwa Miaka Minne (4) Jela.