Muigizaji Tom Holland Ameripotiwa Kurudi Tena Katika Muendelezo Wa Filamu Za Spider-Man, Na Sasa Atakuwepo Kwenye Filamu Mpya Ya ‘Spider-Man: Brand New Day’ Ambayo Ilitangazwa Kupitia CinemaCom, Jana Huko Las Vegas, MarekaniNa Inatarajiwa Kwenye Kuingia Sokoni Julai 31 Mwakani 2026.
Muongozaji Destin Daniel Cretton Alitoa Taarifa Hiyo jana Wakati Wa Tukio Hilo Kubwa La ‘CinemaCom’ Linalowakutanisha Waigizaji, Waandaji Wa Filamu Pamoja Na Makampuni Makubwa Ya Filamu Kwa Ajili Ya Kuweka Wazi Filamu Zao Ambazo Wamekuwa Wakiziandaa Kwa Ajili Ya Siku Za Mbeleni.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.