Kanye West Na Bianca Wameachana ?

Rapa Kanye West Na Bianca Wameripotiwa Kuachana. Hii ni kwa mujibu Wa Ngoma Mpya Ya Kanye Iliyosikika Kwenye Live stream Ya Dj Akademiks .

Kanye Amesikika Akiimba; “Bianca, I just want you to come back. Come back to me. I know what I did to make you mad”.

Hata hivyo haijawekwa Wazi Kama kanye katika wimbo huu alikuwa akielezea tukio la zamani au sasa hivi.