Kendrick Na Mchumba Wake Wafuta Madeni Ya Wanafunzi Shuleni.

Kendrick Lamar na mchumba wake, Whitney Alford, wamelipa zaidi ya dola 340,000 (Tsh Milioni 888.5/=) kufuta madeni ya chakula cha mchana ya maelfu ya wanafunzi wenye kipato cha chini katika shule Zaidi Ya 100 Nchini Marekani.