Kanye West anampa wakati mgumu sana Kim Kardashian hasa kwenye malezi ya watoto wao baada ya kuachana. Kwenye mahojiano na Podcast Iitwayo ‘Call Her Daddy’, Kim amesema kushiriki kwenye suala la malezi na Kanye West ni Jambo gumu sana. “It’s Not Easy”.

Kim Amesema Muda Wote Amekuwa Akiwalea Watoto Wake Huku Kanye Ikiwa Ni Miezi Kadhaa Hajashiriki Chochote Kwenye Malezi Ya Watoto Wao.
Kim Na Kanye Wana Watoto 4 (Saint, North, Chicago, Psalm). Ndoa Yao Ilivunjika Rasmi Mwaka 2022.
Malezi ya pamoja ni rahisi kwenye maneno, lakini je kwa vitendo inakuwa hivyo kweli? 😅
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.