Kodak Black Adai Kuogopa Watu Wafupi

Rapa @kodakblack Anadai kuwa anaogopa watu wafupi kutokana na filamu ya kutisha ya ‘Leprechaun 1993’, ambayo ilihusu kiumbe mdogo wa kutisha aliyekuwa akiwinda watu waliomwibia dhahabu yake.

Kupitia video Hii Inayosambaa Mtandaoni, Kodak Ameweka Wazi kuwa aliogopeshwa na filamu hiyo kiasi cha kuwa na hofu kila anapokutana na watu wafupi.

JE, Na Wewe Watu Wafupi Wanakuogopesha ?