Lavalava adai anaongoza kwa kufanyiwa fitna kila anapotoa kazi mpya.

Msanii wa Bongo Fleva Nchini @iamlavalava amesema kuwa kila anapotoa kazi mpya hukumbana na fitna nyingi.

Hata hivyo, amesisitiza kuwa anaendelea kusimama imara kwa sababu anaamini Mungu yupo upande wake. Kauli hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram wakati akipromoti EP yake mpya #TimeEP.