Mambo 7 Usiyoyajua Superbowl Lix Ya Kendrick Lamar .

Kutokana na onesho hilo la Kendrick kuwa kivutio kwa mashabiki na wafatiliaji wa Superbowl, basi haya ni mambo 11 usiyoyajua kuhusu show ya Kendrick Lamar kwenye Superbowl.

  • Wakati Uncle Sam anasema “Huu ni mchezo Bora wa USA” Alikuwa akimaanisha Mchezo wa “National football League” (NFL) ambao ni mchezo wa Soka maarufu zaidi USA na pia alikuwa akitambulisha kuhusu mchezo wa Marekani kwenye (Siasa, uchumi, nk).
  • Uhusika wa “Uncle Sam” ni uhusika maarufu Marekani unaohusu Mamlaka, Utawala na uzalendo katika serikali) uhusika huo Uliochezwa na Muigizaji Samuel L . Jackson kwenye show ya Hiyo ulihusisha ushiriki wake katika filamu ya “House slave” ya 2012 ambapo alikuwa akitumika na waongoza watumwa kuwaweka watumwa wengine kwenye mstari. Samuel Jackson kuvaa uhusika wa “Uncle Sam” ambaye ni mweusi unawakilisha watu weusi wa hivi sasa waliojuu wakitumika kwa watu weusi waliochini kupitia serikali, ambao ni utumwa wa kisasa (Modern Slave).
  • Baada ya kutumbuiza “Squabble up”, uncle Sam anajitokeza na kusema “Utumbuizaji umekaa kisela zaidi, na anamuuliza Kendrick kama “Anajua kuucheza mchezo kweli” uncle Sam anawakilisha Makampuni na mashirika ya USA yanayojaribu kuwalaghai, kuwapelekesha na kunufaika kupitia watu weusi wa Marekaniu na utamaduni wao .

4: Seti iliyofata inaonesha Kendrick na ma-dancer wake wakiwa kwenye yadi za gerezani, Huku Lights Za nyuma Zilisomeka “Onyo” Yani (WARNING, WRONG WAY), njia sio sahihi” seti hiyo iliwakilisha uhitaji wa muelekeo mpya kwa watu weusi wa Marekani katika nyanja za (kiuchumi, kijamii na siasa)

  • Baada ya seti ya gerezani ilifata seti ya Taa za mitaa (Taa za barabarani ) . Taa za mitaa zinawakilisha athari za kukulia mitaani ambapo watoto weusi wanaambiwa wawe nyumbani punde tuu Taa za barabarani zitakapo washwa . Kisha Uncle Sam anawafokea Kendrick na group lake kwa kutumia “code ya utamaduni ” akimaanisha wanazungumzia utamaduni wa watu weusi tuu .
  • K-Dot anatumbuiza “Not like us” na star wa tennis “Serena Williams” akiwa anafanya “crip walking”. Hii sio tu kejeli kwa aliyekuwa ex wa star huyo wa tennis “Drake”, lakini pia ni kumbukizi kwa jinsi Serena Williams alivyopingwa vikali kwa kufanya “crip walking” baada ya kumshinda “Maria Sharapova” 2012 katika mechi ya Wimbledon,
  • Kendrick anamaliza kutumbuiza “TV Off . Kisha mwanga (Lights) Za nyuma Zikaandika Neno “Game over” hili linaweza ashiria mwisho wa bifu lake zito na Drake pia mwisho wa Mchezo wa Marekani pamoja na Mapinduzi yanayokuja (Revolution)