Meek Mill Aliogopa Kuva Suti Baada Ya Kwenda Kwenye Mazishi.

Rapa Meek Mill Ameweka Wazi Kupitia X (Twitter) Kuwa Awali Alikuwa Akiogopa Kuvaa Suti Kwasababu Kwa Mara Ya Kwanza Kwenda Kwenye Mazishi Alikutana Na Mtu (Mwanaume Mweusi) Amevaa Suti Ndani Ya Jeneza.

Tweet Ya Rapa Meek Mill

“Kama Hujawahi Kukutana Na Hilo Tukio, Huwezi Kuelewa Ninachozungumza Hapa” – Meek Mill

Meek Mill Amezungumzia Suala Hilo Akikumbushia Utoto Wake Baada Ya Mada Inayohusu Mavazi Ku-Trend Mitandaoni. Baadhi Ya Mashabiki Wameacha Maoni Kwenye Post Yake Kwa Kusema Kuwa; “Suti Ni Alama Ya Heshima Na Mafanikio”.