Mjengo Wa Rick Ross Florida Unauzwa Kwa Tsh. Bilioni. 15.9/=.

Rapa Na Mfanyabishara Wa Marekani ‘Rick Rozay’ Ameuweka Sokoni Mjengo Wake Wa Jijini Florida Kwa Thamani Ya Tsh. bilioni 15.9/=.

Jumba Hilo La Kifahari Lina Vyumba 6 Vya Kulala, Ukumbi Wa Filamu, Swiming Pool, Gereji Inayoingiza Gari 6 Pamoja Na Maeneo Mengine Kibao.

JE, Unaweza Kununua Mjengo Wa Rapa Huyu ⁉️