Nicki Minaj Kuipeleka Ziara Yake Afrika Kusini.

Rapa Nicki Minaj amedokeza kwamba huenda akaipeleka ziara yake ya muziki nchini Afrika Kusini.

Wakati akiwa Live Kupitia X Space (Twitter Space), amesema kuwa anathamini sana upendo na support anayopata kutoka kwa mashabiki wa Afrika Kusini. lakini Pia Amedai Kuwa timu yake kwa sasa inachunguza uwezekano wa kupanga show au tamasha huko Mzansi (Afrika Kusini). Ziara Hii Itakuwepo Endapo Ataachia Album Yake Mpya.