Rapa Offset Anasema Tetesi Za Yeye Kuwahi Kuwa Na Uhusiano Na Mrembo Saweetie Wakati akiwa na Quavo Sio Za Kweli. (Mahojiano Na Keke Palmer).
Anasema kwamba kutofautiana kwao kulitokana na jambo kubwa zaidi, na anaamini uvumi huo ulitengenezwa na mtu aliyekuwa Akifaidika Na Kuvunjika Kwao Kwa Kundi La Migos.
Kumbuka Hivi Karibuni Rapa 6ix9ine Alifunguka kuwa sababu ya Kundi la Muziki la Migos kuvunjika ni Offset kutoka na Mpenzi wa Quavo ambaye ni Saweetie. Hivyo Offset Amekanusha Hilo. N
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.