Rapa Glorilla Penzini Na Nyota Wa NBA ‘Brandon Ingram’.

Rapa Wa Marekani @glorilla Ameripotiwa Kuwa Kwenye Mahusiano Na Nyota Wa Mpira Wa Kikapu ‘Brandon Ingram’ Baada Ya Wawili Hawa Kuonekana Pamoja Kati Siku Yake Ya Kuzaliwa. Glorilla Alikuwa Anasherhekea Birthday Yake Jana (Julai 28) Akitimiza Umri Wa Miaka 26.

Ingawa wawili hao hawajathibitisha rasmi uhusiano wao, mashabiki kwenye mitandao ya kijamii wamekuwa wakisambaza video na picha zao wakiwa karibu sana, hali iliyoibua tetesi kuwa huenda kuna zaidi ya urafiki kati yao. Wengi wanaona muunganiko wao kama “power couple” mpya, wakisema mchanganyiko wa muziki wa Glorilla na umahiri wa Ingram uwanjani ni wa kuvutia na wenye chemistry ya kipekee.

JE, Unadhani kwa Jinsi Ulivyowaona Watakuwa Penzini ?