Rapa Wa Marekani @swaelee Kwenye Interview Na Million Dollarz Worth Of Game (@mworthofgame ) Ameweka Wazi kuwa kabla hajafanikiwa Kimuziki…. aliumizwa na Mpenzi wake Aliyemuacha Kisa dereva lori aliyekuwa akiingiza Kiasi Cha dola 7,000–12,000 kwa mwezi (Tsh Mil 18.2/= Hadi Mil 31.2/=)..

Tukio hilo lilimvunja moyo lakini likawa pia chanzo cha motisha kwake Kupambana Zaidi kimuziki. Baada ya miaka kadhaa Ex Wake alirudi tena kwake akiwa anaendesha gari la yule dereva Lori, hali iliyomfanya Swae Lee Akubali Kuwa Katika Mahusiano Hayo Akiwa Yeye, Dereva Lori Na Mpenzi Wake Kwa Muda . Lee anasema Kwasasa kipato anachopata kwa siku Ni Zaidi Ya kile cha dereva Lori aliyemchukua mpenzi zamani.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.