Hivi karbuni Akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Refresh cha Wasafi TV, Triggah alisema kuwa alipokuwa nchini Nigeria kuhudhuria harusi ya Jux na Prscy, aligundua jambo la kushangaza miongoni mwa wanahabari wa Nigeria.
“Niliona waandishi wengi wa huko wakiwa na powerbank kila wakati,” alisema. Hali hiyo ilimfanya kufuatilia kwa undani na kugundua kwamba kuna tatizo kubwa la upatikanaji wa umeme nchini humo.
Kwa mujibu wa Triggah, hali hiyo inaathiri kwa kiasi kikubwa utendaji wa kazi hasa katika sekta ya habari na mitandao ya kijamii, ambapo umeme ni rasilimali muhimu kwa vifaa vya kidigitali.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.