S2kizzy Adokeza Ujio Wa Ngoma Mpya Na Tyla.

Producer Wa Muziki Kutoka Nchini ZOMBIE! @s2kizzy Amedokeza Ujio Wa Ngoma Kadhaa Na Muimbaji Wa Afrika Kusini @tyla.

S2kizzy Amethibitisha Hilo Baada Ya Ku-Share Screenshot Akiwa Kwenye Video Call Na Msanii Huyo Pamoja Na Tweet Iliyosomeka;

“TYLA AND I GOT SOME BANGERS FOR YOU ….. SUPER EXCITED” – S2kizzy

Utakumbuka kuwa mwaka 2022 Tyla aliwahi kuja nchini Tanzania kuweka kambi kwa ajili ya kufanya kazi na mtayarishaji #Zombie @s2kizzy, hatua ambayo inaonekana ilikuwa mwanzo wa safari yake ya mafanikio.

Hata Hivyo Zombie Hajaweka Wazi Lini Rasmi Ataachia Kazi Hizo Na Tyla Lakini Inatajwa Kuwa Ni Hivi Karibuni.