T-Pain Awajibu Mashabiki Walioshangaa Kwanini Hatumii Private Jet

Msanii T-Pain awajibu mashabiki walioshangaa kwanini yupo kwenye ndege ya abiri badala ya kutumia Private Jet.

T Pain ameonyesha gharama za kukodi private Jet kutoka Atlanta mpaka Las Vegas na kurudi ni dola za kimarekani $126,574 [ Tsh 330,358,140 ], nakusema ‘huwezi kutumia pesa nyingi hivi ili kwenda kutafuta pesa zingine na nikifanya hivi mtasema nimeanza kufulia tena hivi karibuni’,

T-Pain Alivyoonesha Gharama Ya Kukodi Ndege Binafsi Kwenda Na Kurudi Kutoka Atlanta Hadi Las Vegas.