Tekashi Alivyotoa Maana Halisi Ya Namba ‘69’.

Miaka Kadhaa Iliyopita Rapper Tekashi 69 Alitupa maana halisi ya namba ‘69’ kwenye jina lake la usanii pamoja na kututajia jina lake la kiserikali.

Akizungumza kwenye video juu – Tekashi Alisema, namba 6 ina maanisha idadi ya herufi za jina lake la kwanza ‘Daniel’ na namba 9 inamaanisha idadi ya herufi kwenye jina lake la pili ‘Hernandez’ – 6ix9ine (69) .