Muimbaji Kutoka Nigeria @tiwasavage amesema bado anatafuta mwanaume wa kuishi naye, lakini ameeleza masharti yake: mwanaume huyo awe na ndege binafsi (private jet), boti ya kifahari (yacht), na pia asiwe na uhusiano wa pembeni wala mama wa mtoto (baby mama).

Ni Kwenye Mahojiana Yake Na Apple Music Aliyofanya Hivi Karibuni Nchini Marekani.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.