Travis Scott Kupiga Show Afrika Kusini Mwaka Huu 2025.

Baada Ya Chris Brown Kuujaza uwanja Wa FNB Unaobeba watu 94,736 Kwa Siku 2 Mfululizo, Sasa Ni Zamu Ya Rapa @travisscott Ambaye Ametangaza Kuileta Ziara Yake Ya “Circus Maximus Tour” Katika Uwanja Wa Huo Uliopo Mjini Johannesburg Nchini Afrika Kusini.

TravisScott Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Ameweka Wazi Kuendelea Na Ziara Yake Hiyo Ambapo Kwa Afrika Kusini Itakuwa Ni Oktoba 11, 2025.

Julai 2023, Travis Alitangaza Kuja Afrika Katika Piramid Za Ajabu Za Gaza Huko Nchini Misri Kwa Ajili Ya kufanya uzinduzi wa Album Yake “Utopia”, Lakini Hakufanikiwa Baada Ya Waandaji Wa Onesho Lake “Live Nation” Kudai Kupata Changamoto Ya Utayarishaji Wa Show Hiyo Eneo La Jangwa Huku Wengine Wakidai Ni Illuminati Na Tamaduni Zao Haziruhusu Hivo Vitu.