Tyla Aweka Rekodi Mpya Spotify, Wimbo Wake “Water” Wafikisha Streams Bilioni 1.

Msanii Wa Afrika Kusini “Tyla” Ameweka Rekodi Mpya Kwenye Mtandao Wa Spotify Kwa Kuwa Msanii Wa Kwanza Africa Kufikisha Streams Bilioni 1 Bila Kushirikiana Na Mtu Kwenye Wimbo (Solo).

Wimbo huo, ambao umepata umaarufu mkubwa duniani, Umeweka rekodi hiyo, na kumfanya Tyla kuwa miongoni mwa wasanii wachache wa kimataifa waliofanikiwa kufikia hatua hiyo kwa kazi yao binafsi.

Tyla anaendelea kuthibitisha kuwa muziki wa Afrika unazidi kuvuka mipaka na kushika kasi kwenye soko la dunia