Vichapo mfululizo vya isababisha Mashujaa kuvunja benchi la ufundi

Uongozi wa Klabu ya Mashujaa Fc umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha mkuu wa kikosi hicho, Mohamed Abdallah (Baress) kocha wa viungo, Hussein Bunu pamoja na kocha wa makipa Rafael Nyendi.

Taarifa ya klabu hiyo imeeleza kuwa timu itakuwa chini ya kocha msaidizi Charles Fredie wakati mchakato wa haraka wa kumpata kocha mkuu ukiendelea.