Waigizaji Waliolipwa Zaidi Ya Tsh Bilioni 252 Katika Filamu Moja Tu .

Baadhi ya waigizaji wakubwa Ambao wameripotiwa Kuingiza Mapato Makubwa Zaidi Ya Kiasi Cha $100m (Tsh Bil 252/=) Kwa Filamu Moja Tu Ambazo Wameigiza.

Will Smith – Men In Black 3

Tom Cruise – Top Gun: Maverick

Sam Worthington – Avatar: The Way Of Water

Tom Cruise – War Of The Worlds

Keanu Reeves – The Matrix Revolutions

Bruce Willis – The Sixth Sense

Tom Cruise – Mission Impossible 2

Kiwango hiki cha malipo kinaonyesha uwezo wa waigizaji hao kuvutia mapato makubwa kupitia Filamu, jambo ambalo mara nyingi ni muhimu kwa mafanikio ya kibiashara ya filamu.

Taja Muigizaji Mwingine Hapa Chini Unayemfahamu!!.