Wimbo Wa Ayra Starr “Commas” Wafikisha Views Milioni 100 Youtube .

Unaambiwa Lyric Video Ya Wimbo Wa Msanii Wa Nigeria @ayrastarr “Commas” Imefanikiwa Kufikisha Jumla Ya Watazamaji Milioni Katika Mtandao Wa Youtube Ndani Ya Mwaka Mmoja Tangu Kuachiwa Kwake .

Hii Inakuwa Video Ya Pili (2) Kwa Ayra Starr Kufikisha Views Zaidi Ya 100M, Huku Ya Kwanza Ikiwa Ni “Rush” Yenye Jumla Ya Watazamaji Zaidi Ya Milioni 427 Hadi Sasa.

Ayra Starr Ni Mmoja Kati Ya Wasanii Wa Afrobeat Wanaofanya Vizuri Zaidi Kwenye Muziki Katika Kizazi Cha Sasa.