Wimbo Wa Skales “Shake Body” Ya-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke.

Wimbo Wa Muimbaji Wa Nigeria @skales ‘Shake Body’, Umerudi Upya Sokoni Uki-Trend Duniani Baada Ya Miaka 10 Tangu Itoke. Hii Ni baada Ya Wachezaji Wa Spain @lamineyamal, Nico Williams, na Samuel Aghehowa Kuicheza Kama Challenge Katika Mtandao Wa Tiktok .

Unaambiwa Tangu video hiyo ipostiwe kwenye akaunti ya #Yamal TikTok siku tatu zilizopita, Imefanikiwa Kupata views Milioni 90 na likes Milioni 10+, Na Hivyo kusababisha wimbo huo Kutumiwa Na maelfu Ya Watengeneza Maudhui Wa Mtandao Huo.

Kutokana na mafanikio hayo, Skales tayari ameachia Amapiano Remix ya wimbo huo Akimshirikisha @onderkoffer.