The Weeknd Anaiendeleza Rekodi Yake Ya Kuwa Na Nyimbo Nyingi Spotify Zenye Streams Zaidi Ya Bilioni 1, Ambapo Hii Inakuwa Ngoma Yake Ya 28 Kufikisha Idadi Hiyo Kubwa Ya Streams Spotify.
Wimbo Wa @theweeknd Aliomshirikisha @playboicarti ‘Timeless’ Tayari Umefanikiwa Kufikisha Streams Bilioni 1 Katika Mtandao Wa Spotify. Wimbo Huu Ambao Uliachiwa Rasmi Septemba Mwaka Jana 2024 Unapatikana Katika Album Yake Ya ‘Hurry Up Tomorrow’ Iliyoingia Sokoni Rasmi Mwaka huu 2025.

Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.