Huu Mwaka Lava Lava atawaliza Sana

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Label ya Wcb Wasafi, #Mr Love Bite Lava Lava amegundua Kuwa asilimia Kubwa Ya Mashabiki aake Wanapenda nyimbo za Kulia, Na Hivyo Kudai Kuwa anazo Ngoma Zaidi Ya 10 aa aina hiyo.

“Nimeona nijinsi Gani Mapenzi Yanawatesa Watu Wangu Sasa Nasemaje Ninazo Izo zakulialia kama kama 10 Nyinyi Ndomseme Nimwage Zote Au Tuanze Na hiyo” – Lavalava Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram

Hii Ni Baada Ya Kupata Mapokezi Makubwa Ya Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Ambayo Bado Haijatoka #INAMANA!!.

JE, Unampenda Lavalava Akifanya Muziki Wa Aina Gani ⁉️