Diamond Avaa Zaidi Tsh Milioni 600 Siku Hii Akiwa New York.

Nyota wa muziki Africa Simba 🦁 @diamondplatnumz Akiwa Jijini New York Ameonekana Katika Mtoko Wa Mavazi Ya Thamani, Ambayo Juu Mpaka Chini Thamani Yake Ni Zaidi Ya USD 265,259 Ambazo Ni Sawa Na Zaidi Ya Tsh Milioni 600/= +.

Mtoko huu Aliouvaa Jijini New York unaendelea kuthibitisha hadhi yake kama mmoja wa wasanii wa kimataifa wenye ushawishi mkubwa Zaidi. Hii ni sehemu ya uwekezaji wa kibiashara unaoongeza thamani ya jina lake na kazi zake Kama Mwanamuziki.