Madrid, Hispania, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa ...

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani Shinyanga imesaini mikataba tisa ya miradi ya maji, ...

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetaja changamoto za walimu, kama vile kutopandishwa madaraja, kutolipwa madai yao kwa wakati, ...

Serikali ya Tanzania imesisitiza azma yake ya kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya watumishi wa umma ambao ...

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameeleza kwamba hajawahi kutoa Maelekezo kwa Mtu, Kikundi ama Taasisi yoyote isilipe kodi ...

Serikali imeagiza kuwa zoezi la ulipaji fidia ya sh, bilioni 6.2 kati ya sh, bilioni 14.48 kwa Wananchi ...

Watafiti kutoka mataifa 55 ulimwenguni wamekutana jijiji Arusha kujadili ulinzi na usalama wa vimelea lengo likiwa ni kulinda ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum ...

Kijana aliyefahamika kwa jina la Musa Solea (39) mkazi wa Kitongoji na kata ya Talaga wilayani Kishapu Mkoani ...

Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza leo limetangaza kuyafuta matokeo yote ya watahiniwa 67 waliobainika kufanya Udanganyifu, ambapo ...