Wasanii 6 Kusainiwa WCB Mwaka Huu 2025

Mtayarishaji Kutoka Label Ya #WCB Ayo @lizerclassic Ameweka Wazi Kuwa Label Hiyo Itasaini Wasanii Kama 6 Mwaka Huu 2025. #Lizer Ametaja Vigezo Vya Wasanii Hao Wanaotaka Kujiunga Na Label Hiyo .👇

“Vigezo:

  1. Uwe unajua kuimba vizuri nyimbo za aina tofauti tofauti. 🎙️
  2. Uwe una uwezo wa kuandika nyimbo zako kwa ufasaha. ✍️
  3. Uwe unajua kucheza 💃🕺
  4. Tuma nyimbo 3 ambazo zimesharekodiwa
  5. Tuma maelezo yako kwa ufupi {PROFILE} (jina, umri, mahali unakotoka, n.k.).
  6. Tuma account yako ya Instagram ili tuweze kukufahamu zaidi.
    7.Uwe Mtanzania 🇹🇿

Tuma kupitia namba ya simu ifuatayo: 0674739353 (whatsapp pekee,usipige simu)
Hakikisha unatuma vitu vyote vilivyotajwa hapo juu.

Maombi yanapokelewa kuanzia sasa hadi Tarehe 4-2-2025

Sms Zitaanza kujibiwa ndani ya masaa 48” – Lizer