Msanii Kutoka WCB “Zuchu” Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Ame-Share Video Ikionesha Nyumba Anayomjengea Mama Yake Mzazi “Khadija Kopa”. Zuchu Amesema Kwamba Nyumba Hiyo Itakuwa Na Vyumba 5 Vya Kulala N.k

“Namjengea Mama Yangu Nyumba Yenye Vyumba Vitano (5) Vya Kulala, Najivunia Sana Mimi Alhamdullilah” – Zuchu Kupitia IG Story
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.