Zuchu Afikisha Streams Milioni 100 Audiomack

Msanii wa Muziki Wa Bongo Fleva Nchini ‘Zuchu’, ametimiza rasmi rekodi ya kufikisha streams milioni 100 katika mtandao wa Audiomack.

Hatua Hii inamfanya kuwa miongoni mwa wasanii wa Afrika wanaosikilizwa zaidi kwenye jukwaa hilo